Zaburi 77:10-11
Zaburi 77:10-11 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha nikasema, “Kinachonichoma zaidi ni kwamba, Mungu Mkuu hatendi tena kitu kwa ajili yetu!” Nitayakumbuka matendo yako, ee Mwenyezi-Mungu, naam, nitayafikiria maajabu yako ya hapo kale.
Shirikisha
Soma Zaburi 77Zaburi 77:10-11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nikasema, Ndio udhaifu wangu huo; Lakini nitaikumbuka miaka ya mkono wa kulia wake Aliye Juu. Nitayakumbuka matendo ya BWANA; Naam, nitayakumbuka maajabu yako ya kale.
Shirikisha
Soma Zaburi 77Zaburi 77:10-11 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nikasema, Ndio udhaifu wangu huo; Lakini nitaikumbuka miaka ya mkono wa kuume wake Aliye juu. Nitayakumbuka matendo ya BWANA; Naam, nitayakumbuka maajabu yako ya kale.
Shirikisha
Soma Zaburi 77