Zaburi 71:23-24
Zaburi 71:23-24 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitapaza sauti kwa furaha, ninapokuimbia wewe sifa zako, na roho yangu itakusifu maana umeniokoa. Nitatamka uadilifu wako mchana kutwa, maana waliotaka kuniumiza wameaibishwa na kufedheheshwa.
Shirikisha
Soma Zaburi 71Zaburi 71:23-24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Midomo yangu itafurahi sana nikuimbiapo, Na nafsi yangu uliyoikomboa. Ulimi wangu nao utasimulia Haki yako mchana kutwa. Kwa maana wameaibishwa, Wametahayarika, wanaonitakia mabaya.
Shirikisha
Soma Zaburi 71