Zaburi 29:5-6
Zaburi 29:5-6 Biblia Habari Njema (BHN)
Sauti ya Mwenyezi-Mungu huvunja mierezi; Mwenyezi-Mungu avunja mierezi ya Lebanoni. Huirusha milima ya Lebanoni kama ndama, milima ya Sirioni kama mwananyati.
Shirikisha
Soma Zaburi 29Zaburi 29:5-6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Sauti ya BWANA yaivunja mierezi; Naam, BWANA aivunjavunja mierezi ya Lebanoni; Airusharusha Lebanoni kama ndama wa ng'ombe; Lebanoni na Sirioni kama mwananyati.
Shirikisha
Soma Zaburi 29