Zaburi 17:1-2
Zaburi 17:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Ee Mwenyezi-Mungu usikie kisa changu cha haki, usikilize kilio changu, uitegee sikio sala yangu isiyo na hila. Haki yangu na ije kutoka kwako, kwani wewe wajua jambo lililo la haki.
Shirikisha
Soma Zaburi 17Zaburi 17:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ee BWANA, usikie haki, ukisikilize kilio changu, Utege sikio lako kwa maombi yangu, Yasiyotoka katika midomo ya hila. Hukumu yangu na itoke kwako, Macho yako na yatazame mambo ya adili.
Shirikisha
Soma Zaburi 17