Zaburi 119:97-98
Zaburi 119:97-98 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Sheria yako naipenda mno ajabu, Ndiyo kutafakari kwangu mchana kutwa. Maagizo yako hunitia hekima kuliko adui zangu, Kwa maana ninayo sikuzote.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:97-98 Biblia Habari Njema (BHN)
Naipenda sana sheria yako! Naitafakari mchana kutwa! Amri yako iko nami daima, yanipa hekima kuliko maadui zangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 119