Zaburi 119:97-98
Zaburi 119:97-98 NEN
Aha! Tazama, sheria yako naipenda mno ajabu. Ninaitafakari mchana kutwa. Amri zako zimenipa hekima zaidi kuliko adui zangu, kwa kuwa nimezishika daima.