Zaburi 119:94-96
Zaburi 119:94-96 Biblia Habari Njema (BHN)
Mimi ni wako, uniokoe, maana nimejitahidi kuzishika kanuni zako. Waovu wanivizia wapate kuniua; lakini mimi natafakari masharti yako. Nimetambua kila kitu hufikia kikomo, lakini amri yako ni kamilifu.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:94-96 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mimi ni wako, uniokoe, Kwa maana nimejifunza mausia yako. Wasio haki wameniotea ili kunipoteza, Nitazitafakari shuhuda zako. Nimeona ukamilifu wote kuwa na mwisho, Bali amri yako haina kikomo.
Shirikisha
Soma Zaburi 119