Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 119:94-96

Zaburi 119:94-96 NEN

Uniokoe, kwa maana mimi ni wako, kwa kuwa nimetafuta mausia yako. Waovu wanangojea kuniangamiza, bali mimi ninatafakari sheria zako. Katika ukamilifu wote ninaona mna kikomo, lakini amri zako hazina mpaka.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 119:94-96

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha