Zaburi 119:62-64
Zaburi 119:62-64 Biblia Habari Njema (BHN)
Usiku wa manane naamka kukusifu, kwa sababu ya maagizo yako maadilifu. Mimi ni rafiki ya wote wakuchao, rafiki yao wanaozitii kanuni zako. Dunia imejaa fadhili zako, ee Mwenyezi-Mungu, unifundishe masharti yako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:62-64 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Usiku wa manane nitaamka nikushukuru, Kwa sababu ya hukumu zako za haki. Mimi ni mwenzi wa watu wote wakuchao, Na wale wayatiio mausia yako. BWANA, dunia imejaa fadhili zako, Unifundishe amri zako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119