Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 119:62-64

Zaburi 119:62-64 NEN

Usiku wa manane ninaamka kukushukuru kwa sababu ya sheria zako za haki. Mimi ni rafiki kwa wale wote wakuchao, kwa wote wanaofuata mausia yako. Ee BWANA, dunia imejaa upendo wako, nifundishe maagizo yako.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 119:62-64

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha