Zaburi 119:163-165
Zaburi 119:163-165 Biblia Habari Njema (BHN)
Nachukia kabisa uongo, lakini naipenda sheria yako. Nakusifu mara saba kila siku, kwa sababu ya maagizo yako adili. Wapendao sheria yako wana amani kuu; hakuna kinachoweza kuwaangusha.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:163-165 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nimeuchukia uongo, umenikirihi, Sheria yako nimeipenda. Mara saba kila siku nakusifu, Kwa sababu ya hukumu za haki yako. Wana amani nyingi waipendao sheria yako, Wala hawana la kuwakwaza.
Shirikisha
Soma Zaburi 119