Zaburi 119:161-162
Zaburi 119:161-162 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakuu wanidhulumu bila kisa, lakini mimi naheshimu maneno yako kwa moyo wote. Nafurahi kwa sababu ya neno lako, kama mtu aliyekuta kitu cha thamani kuu.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:161-162 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakuu wameniudhi bure, Ila moyo wangu unakaa kwa kicho cha maneno yako. Naifurahia ahadi yako, Kama apataye mateka mengi.
Shirikisha
Soma Zaburi 119