Zaburi 119:137-139
Zaburi 119:137-139 Biblia Habari Njema (BHN)
Ee Mwenyezi-Mungu, wewe ni mwadilifu; na hukumu zako ni za haki. Umetoa maamuzi yako, kwa haki na uthabiti. Upendo wangu kwako wanifanya niwake hasira, maana maadui zangu hawajali maneno yako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:137-139 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ee BWANA, Wewe ndiwe mwenye haki, Na hukumu zako ni za adili. Umeziagiza shuhuda zako kwa haki, Na kwa uaminifu mwingi. Juhudi yangu imeniangamiza, Maana watesi wangu wameyasahau maneno yako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119