Zaburi 119:137-139
Zaburi 119:137-139 SRUV
Ee BWANA, Wewe ndiwe mwenye haki, Na hukumu zako ni za adili. Umeziagiza shuhuda zako kwa haki, Na kwa uaminifu mwingi. Juhudi yangu imeniangamiza, Maana watesi wangu wameyasahau maneno yako.