Zaburi 119:131-133
Zaburi 119:131-133 Biblia Habari Njema (BHN)
Nafungua kinywa kwa hamu kubwa, maana ninatamani sana amri zako. Unigeukie na kunionea huruma, kama uwatendeavyo wanaokupenda. Uniimarishie hatua zangu kama ulivyoahidi; usikubali mimi nitawaliwe na uovu.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:131-133 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nafunua kinywa changu nikihema, Maana nazitamani amri zako. Unigeukie na kunirehemu, Kama ilivyo desturi yako kwa walipendalo jina lako. Uzielekeze hatua zangu kwa neno lako, Uovu usije ukanimiliki.
Shirikisha
Soma Zaburi 119