Zaburi 119:131-133
Zaburi 119:131-133 SRUV
Nafunua kinywa changu nikihema, Maana nazitamani amri zako. Unigeukie na kunirehemu, Kama ilivyo desturi yako kwa walipendalo jina lako. Uzielekeze hatua zangu kwa neno lako, Uovu usije ukanimiliki.