Zaburi 119:129-130
Zaburi 119:129-130 Biblia Habari Njema (BHN)
Maamuzi yako ni ya ajabu; kwa hiyo nayashika kwa moyo wote. Maelezo ya mafundisho yako huleta mwanga; huwapa akili watu wasiojua kitu.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:129-130 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Shuhuda zako ni za ajabu, Ndiyo maana roho yangu imezishika. Kufafanuliwa kwa maneno yako kunatia nuru, Na kumfahamisha mjinga.
Shirikisha
Soma Zaburi 119