Zaburi 119:129-130
Zaburi 119:129-130 NEN
Sheria zako ni za ajabu, hivyo ninazitii. Kuingia kwa maneno yako kunaleta nuru, kunampa mjinga ufahamu.