Zaburi 118:28-29
Zaburi 118:28-29 Biblia Habari Njema (BHN)
Wewe ni Mungu wangu, nami ninakushukuru; ninakutukuza, ee Mungu wangu. Mshukuruni Mwenyezi-Mungu kwa kuwa ni mwema, kwa maana fadhili zake zadumu milele.
Shirikisha
Soma Zaburi 118Zaburi 118:28-29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndiwe Mungu wangu, nami nitakushukuru, Ndiwe Mungu wangu, nami nitakutukuza. Mshukuruni BWANA kwa kuwa ni mwema, Kwa maana fadhili zake ni za milele.
Shirikisha
Soma Zaburi 118