Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 118:28-29

Zaburi 118:28-29 NEN

Wewe ni Mungu wangu, nitakushukuru, wewe ni Mungu wangu, nitakutukuza. Mshukuruni BWANA kwa kuwa ni mwema; upendo wake wadumu milele.

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha