Zaburi 118:22-23
Zaburi 118:22-23 Biblia Habari Njema (BHN)
Jiwe walilokataa waashi, limekuwa jiwe kuu la msingi. Hiyo ni kazi yake Mwenyezi-Mungu nayo ni ya ajabu sana kwetu.
Shirikisha
Soma Zaburi 118Zaburi 118:22-23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Jiwe walilolikataa waashi Limekuwa jiwe kuu la pembeni. Neno hili limetoka kwa BWANA, Nalo ni ajabu machoni petu.
Shirikisha
Soma Zaburi 118