Zaburi 118:22-23
Zaburi 118:22-23 SRUV
Jiwe walilolikataa waashi Limekuwa jiwe kuu la pembeni. Neno hili limetoka kwa BWANA, Nalo ni ajabu machoni petu.