Zaburi 118:19-21
Zaburi 118:19-21 Biblia Habari Njema (BHN)
Nifungulie milango ya watu waadilifu, niingie na kumshukuru Mwenyezi-Mungu! Huu ndio mlango wa Mwenyezi-Mungu, watu waadilifu watapitia humo. Nakushukuru, ee Mungu kwa kunijibu; kwa sababu wewe ni wokovu wangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 118Zaburi 118:19-21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nifungulieni malango ya haki, Nitaingia na kumshukuru BWANA. Lango hili ni la BWANA, Wenye haki ndio watakaoliingia. Nitakushukuru kwa maana umenijibu, Nawe umekuwa wokovu wangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 118