Zaburi 118:17-18
Zaburi 118:17-18 Biblia Habari Njema (BHN)
Sitakufa, bali nitaishi, na kusimulia matendo ya Mwenyezi-Mungu. Mwenyezi-Mungu ameniadhibu sana, lakini hakuniacha nife.
Shirikisha
Soma Zaburi 118Zaburi 118:17-18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Sitakufa bali nitaishi, Nami nitayasimulia matendo ya BWANA. BWANA ameniadhibu sana, Lakini hakuniacha nife.
Shirikisha
Soma Zaburi 118