Zaburi 118:17-18
Zaburi 118:17-18 SRUV
Sitakufa bali nitaishi, Nami nitayasimulia matendo ya BWANA. BWANA ameniadhibu sana, Lakini hakuniacha nife.