Zaburi 118:13-14
Zaburi 118:13-14 Biblia Habari Njema (BHN)
Nilishambuliwa mno karibu nishindwe, lakini Mwenyezi-Mungu alinisaidia. Mwenyezi-Mungu ni nguvu yangu kuu; yeye mwenyewe ndiye wokovu wangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 118Zaburi 118:13-14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ulinisukuma sana ili nianguke; Lakini BWANA akanisaidia. BWANA ni nguvu zangu na wimbo wangu, Naye amekuwa wokovu wangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 118