Zaburi 118:13-14
Zaburi 118:13-14 SRUV
Ulinisukuma sana ili nianguke; Lakini BWANA akanisaidia. BWANA ni nguvu zangu na wimbo wangu, Naye amekuwa wokovu wangu.