Zaburi 103:9-10
Zaburi 103:9-10 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Yeye hatalaumu siku zote, wala haweki hasira yake milele, yeye hatutendei kulingana na dhambi zetu wala hatupatilizi kwa kadiri ya maovu yetu.
Shirikisha
Soma Zaburi 103Zaburi 103:9-10 Biblia Habari Njema (BHN)
Hatukemeikemei daima, wala hasira yake haidumu milele. Yeye hatuadhibu kama tunavyostahili; hatulipizi kadiri ya uovu wetu.
Shirikisha
Soma Zaburi 103