Zaburi 103:5-6
Zaburi 103:5-6 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndiye anayeniridhisha mema maisha yangu yote, hata nabaki kijana mwenye nguvu kama tai. Mwenyezi-Mungu huhukumu kwa haki; huwajalia wanaodhulumiwa haki zao.
Shirikisha
Soma Zaburi 103Zaburi 103:5-6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Aushibisha mema uzee wako, Ujana wako ukarejezwa kama tai; BWANA ndiye afanyaye mambo ya haki, Na hukumu kwa wote wanaoonewa.
Shirikisha
Soma Zaburi 103