Zaburi 103:3-4
Zaburi 103:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndiye anayenisamehe uovu wangu wote, na kuniponya magonjwa yote. Ndiye aniokoaye kutoka kifoni, na kunijalia rehema na fadhili zake.
Shirikisha
Soma Zaburi 103Zaburi 103:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akusamehe maovu yako yote, Akuponya magonjwa yako yote, Aukomboa uhai wako kutoka kwa kaburi, Akutia taji la fadhili na rehema
Shirikisha
Soma Zaburi 103