Zaburi 103:19-20
Zaburi 103:19-20 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu ameweka kiti chake cha enzi mbinguni; yeye anatawala juu ya vitu vyote. Enyi malaika wakuu, msifuni Mwenyezi-Mungu; mnaotimiza amri zake na kutekeleza neno lake!
Shirikisha
Soma Zaburi 103Zaburi 103:19-20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA ameweka kiti chake cha enzi mbinguni, Na ufalme wake unavitawala vitu vyote. Mhimidini BWANA, enyi malaika zake, Ninyi mlio hodari, mtendao neno lake, Mkiisikiliza sauti ya neno lake.
Shirikisha
Soma Zaburi 103Zaburi 103:19-20 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
BWANA ameweka kiti chake cha enzi mbinguni, Na ufalme wake unavitawala vitu vyote. Mhimidini BWANA, enyi malaika zake, Ninyi mlio hodari, mtendao neno lake, Mkiisikiliza sauti ya neno lake.
Shirikisha
Soma Zaburi 103