Zaburi 103:17-18
Zaburi 103:17-18 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini fadhili za Mwenyezi-Mungu hudumu milele, kwa wale wote wanaomheshimu; na wema wake wadumu vizazi vyote, kwa wote wanaozingatia agano lake, wanaokumbuka kutii amri zake.
Shirikisha
Soma Zaburi 103Zaburi 103:17-18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Bali fadhili za BWANA ni kwa wamchao Tangu milele hata milele, Na haki yake ni kwa vizazi vyote; Kwa wale walishikao agano lake, Na kuyakumbuka maagizo yake ili wayafanye.
Shirikisha
Soma Zaburi 103