Zaburi 103:15-16
Zaburi 103:15-16 Biblia Habari Njema (BHN)
Walakini binadamu, maisha yake ni kama nyasi tu; huchanua kama ua shambani: Upepo huvuma juu yake nalo latoweka; na mahali lilipokuwa hapaonekani tena.
Shirikisha
Soma Zaburi 103Zaburi 103:15-16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwanadamu siku zake zi kama majani; Kama ua la kondeni ndivyo anavyostawi. Maana upepo hupita juu yake, na kutoweka! Lisionekane mahali lilipokuwa tena.
Shirikisha
Soma Zaburi 103