Methali 31:12-13
Methali 31:12-13 Biblia Habari Njema (BHN)
Kamwe hamtendei mumewe mabaya, bali humtendea mema maisha yake yote. Hutafuta sufu na kitani, na kufanya kazi kwa mikono yake kwa bidii.
Shirikisha
Soma Methali 31Methali 31:12-13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Humtendea mema wala si mabaya, Siku zote za maisha yake. Hutafuta sufu na kitani; Hufanya kazi yake kwa moyo wote.
Shirikisha
Soma Methali 31