Mithali 31:12-13
Mithali 31:12-13 NEN
Humtendea mumewe mema, wala si mabaya, siku zote za maisha yake. Huchagua sufu na kitani naye hufanya kazi kwa mikono yenye bidii.