Methali 24:8-9
Methali 24:8-9 Biblia Habari Njema (BHN)
Afikiriaye kutenda maovu daima ataitwa mtu mwenye fitina. Mpango anaofikiria mpumbavu ni dhambi; mwenye dharau huchukiwa na kila mtu.
Shirikisha
Soma Methali 24Methali 24:8-9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtu afikiriye kutenda maovu, Watu watamwita mtundu; Fikira za mpumbavu ni dhambi, Na mwenye mzaha huwachukiza watu.
Shirikisha
Soma Methali 24