Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Methali 24:8-9

Methali 24:8-9 BHN

Afikiriaye kutenda maovu daima ataitwa mtu mwenye fitina. Mpango anaofikiria mpumbavu ni dhambi; mwenye dharau huchukiwa na kila mtu.

Soma Methali 24

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Methali 24:8-9

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha