Methali 24:19-20
Methali 24:19-20 Biblia Habari Njema (BHN)
Usihangaike kwa sababu ya watenda mabaya, wala usiwaonee wivu watu waovu, maana mwovu hatakuwa na mema baadaye; taa ya uhai wake itazimwa.
Shirikisha
Soma Methali 24Methali 24:19-20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Usikasirike kwa sababu ya watenda mabaya; Wala usiwahusudu wabaya; Kwa maana mtu mbaya hapati thawabu; Taa ya mtu mbaya itazimika.
Shirikisha
Soma Methali 24