Methali 2:1-3
Methali 2:1-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwanangu, ukiyakubali maneno yangu, na kuyathamini maagizo yangu; ukitega sikio lako kusikiliza hekima, na kuuelekeza moyo wako upate ufahamu; naam, ukiomba upewe busara, ukisihi upewe ufahamu
Shirikisha
Soma Methali 2Methali 2:1-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwanangu, kama ukiyakubali maneno yangu, Na kuyaweka akiba maagizo yangu; Hata ukatega sikio lako kusikia hekima, Ukauelekeza moyo wako upate kufahamu; Naam, ukiita busara, Na kupaza sauti yako upate ufahamu
Shirikisha
Soma Methali 2