Methali 12:3-4
Methali 12:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtu hawi imara kwa kutenda maovu, lakini hakuna kiwezacho kumngoa mtu mwadilifu. Mke mwema ni taji ya fahari kwa mumewe; amwaibishaye mumewe ni kama kidonda mifupani mwake.
Shirikisha
Soma Methali 12Methali 12:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtu hatathibitika kwa njia ya uovu; Shina la mwenye haki halitaondolewa kamwe. Mwanamke mwema ni taji la mumewe; Bali aaibishaye ni kama kuoza mifupani mwake.
Shirikisha
Soma Methali 12