Methali 12:27-28
Methali 12:27-28 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwindaji mvivu hatapata anachowinda, lakini mwenye bidii atafanikiwa. Uadilifu ni njia ya uhai, lakini uovu huongoza katika mauti.
Shirikisha
Soma Methali 12Methali 12:27-28 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtu mvivu hapiki mawindo yake; Bali mwenye bidii anazo mali za thamani. Katika njia ya haki kuna uhai; Wala hakuna mauti katika mapito yake.
Shirikisha
Soma Methali 12