Mithali 12:27-28
Mithali 12:27-28 NEN
Mtu mvivu haoki mawindo yake, bali mtu mwenye bidii ana mali za thamani. Katika njia ya haki kuna uzima; katika mapito hayo kuna maisha ya milele.