Methali 12:11-12
Methali 12:11-12 Biblia Habari Njema (BHN)
Mkulima mwenye bidii ana chakula tele, lakini afuataye mambo yasiyofaa hana akili. Waovu hutamani faida isiyo halali, lakini mtu mwadilifu husimama imara.
Shirikisha
Soma Methali 12Methali 12:11-12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Alimaye shamba lake atakuwa na chakula tele; Bali afuataye mambo ya upuzi hana ufahamu. Asiye haki hutamani nyavu za wabaya; Bali shina lao wenye haki huleta matunda.
Shirikisha
Soma Methali 12