Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 12:11-12

Mithali 12:11-12 NEN

Yeye alimaye shamba lake atakuwa na chakula tele, bali yeye afuataye mambo ya upuzi hana akili. Waovu hutamani mateka ya watu wabaya, bali shina la mwenye haki hustawi.

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha