Methali 12:1-2
Methali 12:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Apendaye nidhamu hupenda maarifa, bali asiyependa kuonywa ni mjinga. Mtu mwema hufadhiliwa na Mwenyezi-Mungu, lakini mwenye nia mbaya hulaaniwa na Mungu.
Shirikisha
Soma Methali 12Methali 12:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kila apendaye mafundisho hupenda maarifa; Bali yeye achukiaye kulaumiwa ni kama mnyama. Mtu mwema atapata upendeleo kwa BWANA; Bali mtu wa hila atahukumiwa naye.
Shirikisha
Soma Methali 12