Mithali 12:1-2
Mithali 12:1-2 NEN
Yeyote apendaye kuadibishwa hupenda maarifa, bali yeye achukiaye kuonywa ni mpumbavu. Mtu mwema hupata kibali kutoka kwa BWANA, bali BWANA humhukumu mwenye hila.