Wafilipi 3:18
Wafilipi 3:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Nimekwisha waambieni jambo hili mara nyingi, na sasa narudia tena kwa machozi: Watu wengi wanaishi kama maadui wa msalaba wa Kristo.
Shirikisha
Soma Wafilipi 3Wafilipi 3:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana wengi huenda, ambao nimewaambieni mara nyingi habari zao, na sasa nawaambia hata kwa machozi, kuwa ni adui za msalaba wa Kristo
Shirikisha
Soma Wafilipi 3