Wafilipi 2:19-20
Wafilipi 2:19-20 Biblia Habari Njema (BHN)
Katika kuungana na Bwana Yesu ninalo tumaini kwamba nitaweza kumtuma Timotheo kwenu hivi karibuni, ili nitiwe moyo kwa kupata habari zenu. Sina mtu mwingine kama yeye ambaye anawashughulikieni kwa moyo.
Shirikisha
Soma Wafilipi 2Wafilipi 2:19-20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini natumaini katika Bwana Yesu kumtuma Timotheo afike kwenu karibu, nifarijiwe na mimi, nikiijua hali yenu. Maana sina mtu mwingine mwenye nia moja nami, atakayeiangalia hali yenu kweli kweli.
Shirikisha
Soma Wafilipi 2