Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wafilipi 2:19-20

Wafilipi 2:19-20 NEN

Natumaini katika Bwana Yesu kumtuma Timotheo hivi karibuni aje kwenu, ili nipate kufarijika moyo nitakapopata habari zenu. Sina mtu mwingine kama yeye, ambaye ataangalia hali yenu kwa halisi.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wafilipi 2:19-20

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha