Marko 1:27-28
Marko 1:27-28 Biblia Habari Njema (BHN)
Watu wote wakashangaa, wakaulizana, “Ni mambo gani haya? Je, ni mafundisho mapya? Mtu huyu anayo mamlaka ya kuamuru hata pepo wachafu, nao wanamtii!” Habari za Yesu zikaenea upesi kila mahali katika eneo la Galilaya.
Shirikisha
Soma Marko 1Marko 1:27-28 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakashangaa wote, hata wakaulizana, wakisema, Nini hii? Ni elimu mpya! Maana kwa uweza awaamuru hata pepo wachafu, nao wamtii! Habari zake zikaenea haraka kote katika nchi zote kandokando ya Galilaya.
Shirikisha
Soma Marko 1